Makapuku Forum

Duuh..Naona vijana mnazidi tu kurecruit member..Sikujua kama wahanga wa dharau ni wengi hivi..

Nwei ndugu viongozi Bitoz Jimena The Name mmejiwekea mikakati gani ya kukabiliana na hili swala mnalolipigania? Au harakati zenu zinaishia kwenye uzi huu tu
Pia naamini mmeanzisha harakati hizi kwa dhumuni,lengo na nia njema..Na naona mnazidi kujizolea wafuasi wa kutosha,Basi ni vyema mkajiwekea taratibu zitakazowaongoza..Hata ikitokea mwanachama mwenzenu anazingua mnaweza kumkanya wenyewe..
 
Nenda MEMBERS ONLY kuna lalamiko rasmi LA makapuku

akizingua MTU anaondolewa kwenye list
 
Naamini prezidaa Bitozi atatoaa Muongozo Kamili mkuu Ngoja akujee hapaa
 
Tunashukuru mods 1 kapita hapa
Anatakiwa ayafanyie kazi haya malamiko yetu dhidi ya wakongwe
 
Nashukuru sana kwa ushauri. Changamoto najua zitakuwepo tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…