I'm silent killerInaweza kua kweli asee,,.. especially hapa makapuku forum hakuna ratio kabisa, wanafaidi wachache tu akina Th Name, youngblood , sumbai, jonax, emmyguy , ibra87 si wengine tunakula kwa macho tu bob... Hata rais mwenyewe(Bitoz) nahisi kaambulia patupu
Nenda pale la Vista club au smart bar wapo wa kutosha ukikosa nenda maeneo ya Manyara InnWatoto wote wamelala sa hizi
Tusikae sana lakini [emoji5] [emoji5]Ngoja kwanza tuwape company.
Wanajijua wenyewe wanaolala na sabuni.tutajie captain wa team sabuni tafadhali
Kwa kuanzia, kumbuka inategemea na speed yake pia, kama hapost watu watalike nini?Mbona hizo kidogo sana
Saafi sanaKama umechoka tuondoke mpenzi
Ngoja nifanye siriHebu wataje nami niwajue hawa wavimba macho.
Hahahaa we unakamatia chiniI'm silent killer
Sina mbwembwe
..................
Sawa sweetheart.Tusikae sana lakini [emoji5] [emoji5]
Itabidi uziongeze tu mkuu maana hakuna namna sasaLike zangu hata haziongezeki
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Prezdaa Bitoz, naomba nitoe rai kabisa... akija kapuku mpya(KE) atakua baby wangu nimeona niweke order kabisa nisije nikaibiwa buree
Wamekaa tena
Kwisha kazi
................
Kweli kabisa kuna watu wana speed ya kobeKwa kuanzia, kumbuka inategemea na speed yake pia, kama hapost watu watalike nini?
Leo mapema sana na sitoki mpaka kupambazukeya jimena
Kukudokeza tu anae kuja ni bi faiza.. Upo tayariPrezdaa Bitoz, naomba nitoe rai kabisa... akija kapuku mpya(KE) atakua baby wangu nimeona niweke order kabisa nisije nikaibiwa buree
Hakuna namna sasa maana naona watu ni wajanja-wajanja humu[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
HawatokiWamekaa tena
leo utatumia nini kulindaLeo mapema sana na sitoki mpaka kupambazuke
Mapopo katika ubora wetu[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]Kumbe mnajuana eeh