Nyingine umchukulie kesho pale dukani kwa Mangi umuongezee.mimi kama kapuku mwenzio najitolea kukutunukia mche mzima wa sabuni ya jamaa! uzuri waKe haiishii mapema na ina povu jingi sana!
As usual.....leo utatumia nini kulinda
mkamate jimena ndo alikua mlinzi wa zamuTangazo..Tangazo....Tangazo...,alieniibia likes zangu nampa masaa 24 awe amerudisha la sivyo nisilaumiwe
Keshalala huyo[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] unataka niachike?
Vipi lakini uko poa baby?Yo welcome hubby
Hajalala anakuangaliaKeshalala huyo
Kumbe bado haujaisha[emoji15] [emoji15]
shauriyoLove u too bby
Utasubiri sana,labda uvamie couple ya Th Name maana naona haina muda itasambaratika.mimi bado napiga mingo kwa nahrene najua Youngblood nguvu za soda
Baby nini tena?[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] unataka niachike?
Yeah niko poa mpenz wangu.Vipi lakini uko poa baby?
Haonagi usikuHajalala anakuangalia
hapana ..Naona mnapitisha sensa
Dk c zinaonekanaKumbe bado haujaisha[emoji15] [emoji15]
Hiyo ndo furaha yangu. Honey wa mimiYeah niko poa mpenz wangu.
Karoti na mchicha ninazo mlisha atakosaje kuona. Anaona vizuriHaonagi usiku
Zoezi la uhesabuji watu bado linaendelea.....Naona mnapitisha sensa
Jimena lazima amekula hongoTangazo..Tangazo....Tangazo...,alieniibia likes zangu nampa masaa 24 awe amerudisha la sivyo nisilaumiwe
umeona mbulu analalamika kaibiwa likes zake [emoji15] [emoji16] [emoji16]As usual.....