EMMYGUY
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 11,099
- 25,347
Nyingine umchukulie kesho pale dukani kwa Mangi umuongezee.mimi kama kapuku mwenzio najitolea kukutunukia mche mzima wa sabuni ya jamaa! uzuri waKe haiishii mapema na ina povu jingi sana!
Sawa baby wangu!