Sinoni
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 6,581
- 11,572
unawait hivyo hivyo,9k[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na hizi you must wait unazipeleka wapi??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unawait hivyo hivyo,9k[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Na hizi you must wait unazipeleka wapi??
Zinakeraaaaaaaaaaaa[emoji30] [emoji30] [emoji30]unawait hivyo hivyo,
si kweli,..Kila anapomaliza chupa moja ndo anarud
Najaribu tu kupata pichasi kweli,..
Sasa katika text 50 we ya kwako moja kwani unasinzia au???Mimi nipo sana tu, Sitoki, sibanduki.
Nikupe pole maana huenda hilo tatizo lipo kwako tu..Zinakeraaaaaaaaaaaa[emoji30] [emoji30] [emoji30]
8,000 tu kwa usiku huu zitatoshaPoa poa,
Hivi zinatakiwa zifike ngapi?
imekubaliwa ..Basi nisamehe bureeee[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Kwa watu wote, wanataka ureply baada ya dakika moja, sasa kama una speed yangu ndo ujue lazima ukutane naloNikupe pole maana huenda hilo tatizo lipo kwako tu..
Sasa katika text 50 we ya kwako moja kwani unasinzia au???
Atakuwa ana kampani hapo pembeniKila anapomaliza chupa moja ndo anarud
Si bure..Atakuwa ana kampani hapo pembeni
Kuna saa ulisusa sijui tatizo ni nini hasa!?Nyie ndo mlitegea sana time flan mpaka nkataka nifunge hii forum kwa leo
Muda ule nilikuwa naongea na simu,Nyie ndo mlitegea sana time flan mpaka nkataka nifunge hii forum kwa leo
We kampan yako ishalala?Atakuwa ana kampani hapo pembeni
Unatembea kwa mguu sa ivi unaenda wap usiku huu mkuu?Niko barabarani natembea