Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Siku hizi ulozii umeendelea sana,nasiki mshana jr anatumia drones kufanya kaziHilo shama limelimwa usiku Wa kuamkia Leo.....dah..
Kweli mshana noumaa....
Nawapongeza vijana wako Wa kazi waliolima usikuuu
Aikamaya.[emoji1] [emoji1] [emoji1] hakyamungu hii lugha ni ngumuAikambeee[emoji120] [emoji120]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unawezakuta mtu kaweka picha ya Beyonce kumbe ni Faiza.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] sawa mkuu.Hapana ni kazi ngumu...kazi ya mihangaiko ni ile unatoka hm asubuhi hujui unaenda wapi na kufanya nini
Kazi njema mkuu,Bwana wa miamba akuongoze.Asantee mzeee
Maisha mihangaikoHapana ni kazi ngumu...kazi ya mihangaiko ni ile unatoka hm asubuhi hujui unaenda wapi na kufanya nini
Hakika Shem wako yuko vizuri sanaAsante sana mkuu,natumai shem pia atakuwa anafanya hivyo.
Basi hongera sana.Hakika Shem wako yuko vizuri sana
Unawezakuta mtu kaweka picha ya Beyonce kumbe ni Faiza.
Naogopa kumtaja.[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]Kitendawili tegaView attachment 338275Huyu ni....
Hahaha,yule bibi ni balaaUnawezakuta mtu kaweka picha ya Beyonce kumbe ni Faiza.
Nong'oneza asisikieNaogopa kumtaja.[emoji1] [emoji1] [emoji23] [emoji23]
Acha tu nimtunzie siri.Nong'oneza asisikie
Hahaaa sio ngumu banaAikamaya.[emoji1] [emoji1] [emoji1] hakyamungu hii lugha ni ngumu