amaizing
JF-Expert Member
- May 3, 2013
- 3,617
- 12,396
Hahaaaa unautani na faizaUnawezakuta mtu kaweka picha ya Beyonce kumbe ni Faiza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaaa unautani na faizaUnawezakuta mtu kaweka picha ya Beyonce kumbe ni Faiza.
Poa cute b mzima weye?Makapuku mambo zenu?
Nzuri cute bMakapuku mambo zenu?
Labda **makapuku** iwe ndiyo signature ya makapuku wote.Hapo itakuwa poa sana kila kapuku atatambulika.Sasa nitoe ushauri kwa kapukuz wenzangu.
Unapojiandaa kutoa Post au kureply kule kwenye majukwaa Yale tunakobaniwa, Anza Na Neno Makapuku...
MF.
Makapuku: unayofanya lizaboni si mazuri.
hellow beibyNzuri cute b
Habar ya kwako
Huyu mwanamke hatabiriki, lakini sina ugomvi naye.Hahaaaa unautani na faiza
Nani amekwambia anashida na vikongwe!?nyie peaneni tu lakini naomba aggyjay wangu asigusweee kabisaaa
Thankyuu field njema kipenzi.
I will miss you mor
Nimeamka salama. Mpendwa....
Hivi husikii baridi? Mpendwa
Jamani makapuku kwanzia Leo Mimi nipo single and available...Miss you more kipenz
Nimebanwa na Kaz za field...
Tutaonana jion....
Good Friday to you[emoji8]
Niko mzima wa afya kipenzi changu, unajisikiaje na hali.mi nlishasinzia! umeamkaje honey?
Kulikuwa na signature kule setting lakini siku hizi sizioniSasa nitoe ushauri kwa kapukuz wenzangu.
Unapojiandaa kutoa Post au kureply kule kwenye majukwaa Yale tunakobaniwa, Anza Na Neno Makapuku...
MF.
Makapuku: unayofanya lizaboni si mazuri.
Salama vipi mkuu?huu uzi duh!! Habari zenu MAKAPUKU..😀😀😀😀😀
na wanafanya hivyo ili wakubalike na watu, hata wakipost ujinga atapata like za kutosha na wachangiaji wengi..Kweli kabisa, kuna uwezekano mkubwa midume ikaweka avatar za warembo wanaovutia kidume unatumia maneno matamu kuchombeza kumbe ni dume mwenzio.
Umeachika kwa Nani?
Poa umeamka uzuri_Makapuku mambo zenu?
Poa kabisa,umeamka salama mkuu!niaje kipande hii ...
Asante sanaBasi hongera sana.
Salamahuu uzi duh!! Habari zenu MAKAPUKU..😀😀😀😀😀