Makapuku Forum

Sasa nitoe ushauri kwa kapukuz wenzangu.

Unapojiandaa kutoa Post au kureply kule kwenye majukwaa Yale tunakobaniwa, Anza Na Neno Makapuku...

MF.
Makapuku: unayofanya lizaboni si mazuri.
Labda **makapuku** iwe ndiyo signature ya makapuku wote.Hapo itakuwa poa sana kila kapuku atatambulika.
 
Sasa nitoe ushauri kwa kapukuz wenzangu.

Unapojiandaa kutoa Post au kureply kule kwenye majukwaa Yale tunakobaniwa, Anza Na Neno Makapuku...

MF.
Makapuku: unayofanya lizaboni si mazuri.
Kulikuwa na signature kule setting lakini siku hizi sizioni
Tuhakikishe tunapendana tukiona mwenzetu anaonewa jukwaa fulani tunampa nguvu
Lakini sio kutukana
.....................
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…