Pole mamiii...salama tu..Baridi inasumbua!
Mkuu swalama.Habari za asubuhi MAKAPUKU wote.
why not honey π karibu laazizDuh! Pole mummy, kunaweza kukahitajika nikarudi home kukupea joto?
Naona sweetheart wako hafanyi kazi yake,kama vipi mpige chini[emoji125] [emoji125] [emoji125]salama tu..Baridi inasumbua!
Asante......naona huu uzi unaruka sana, kuna watu wamo 24/7 humu...hawa watu wanafanya kazi kweli?Karibu mkuu.
Hahaha,sawa mkuuView attachment 338314View attachment 338315
Daah haya tuonaneee baadae wazee....kazi kazi... Wasije nitengua uteuzi wao kwangu
Ndio maana unaona uzi unarukaAsante......naona huu uzi unaruka sana, kuna watu wamo 24/7 humu...hawa watu wanafanya kazi kweli?
Ha haa.... Nimekumiss mke wangu halali kabisaa... Hii baridi imekuja vibaya. Bby
Sijaelewa kabisatx-3
Unatamanieee!*[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39]
Umeona wapi mlinzi wa geti akawa busy.Asante......naona huu uzi unaruka sana, kuna watu wamo 24/7 humu...hawa watu wanafanya kazi kweli?
Umeona mshana..mimi Ndio nshatendwa hivyo sijui kisa mweusiKuna harufu ya hujuma na mapinduzi hapa
anafanya majukumu yake kama inavotakiwa...Au unataka siku nkuite ushuhudie..Naona sweetheart wako hafanyi kazi yake,kama vipi mpige chini[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mungu ndo kila kitu mkuu, Vipi upande wako?Poa kabisa,umeamka salama mkuu!
Njoo kwangu utakacho nakupa....Umeona mshana..mimi Ndio nshatendwa hivyo sijui kisa mweusi
Mambo mazuri kabisa,Bwana wa mbingu na ardhi anasaidia.Kaka mambo vip?!
haya mapinduz ya kawaida tub[emoji23] [emoji23] 24/7