Makapuku Forum

Ha haa.... Nimekumiss mke wangu halali kabisaa... Hii baridi imekuja vibaya. Bby
Yaani unachepuka hapa hapa kwenye hii familia... umenikosea sana... nina mwaka hujaniita Kipenzi lakini wengine ni kama pumzi...
kiwatengu najua hujaamka ila ukiwa kama mzee uliyehalalisha hii ndoa naomba uje uivunje rasmi niwe single and available na Mali tugawane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…