Nini kimetokea tena!
Jaman mbona mnanikumbusha maumivu?Umeachika kwa Nani?
Nikwamba aliyekuwa Mume Wangu ambaye nimejitoa dakk mbili zilizopita alikuwa akichepuka na amazing
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nini kimetokea tena!
Jaman mbona mnanikumbusha maumivu?Umeachika kwa Nani?
Labda kufukuza mbuUmeona wapi mlinzi wa geti akawa busy.
Ulitaka kuimbisha ninii, maana hamchelewi.Duh.., umeamua kukomaa sio? Mi nlitaka nibaki na jimena tu
Kweli wanaume hawana huruma,yaani wewe pia na uzuri wote uliyonao bado unasalitiwa!!!!!.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Jaman mbona mnanikumbusha maumivu?
Nikwamba aliyekuwa Mume Wangu ambaye nimejitoa dakk mbili zilizopita alikuwa akichepuka na amazing
Naomba kuuliza**haya mapinduz ya kawaida tub
Tuna biashara zetuAsante......naona huu uzi unaruka sana, kuna watu wamo 24/7 humu...hawa watu wanafanya kazi kweli?
niambie kakaNaomba kuuliza**
prezdaa mambo?![]()
Signature magumashi
........
Huyo hapo kwenye avatar ni wewe au shemeji?niambie kaka
Yaani unachepuka hapa hapa kwenye hii familia... umenikosea sana... nina mwaka hujaniita Kipenzi lakini wengine ni kama pumzi...Ha haa.... Nimekumiss mke wangu halali kabisaa... Hii baridi imekuja vibaya. Bby
Usijali baby, mie ndo joto lako siku zote.why not honey 🙂 karibu laaziz
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda kufukuza mbu
Swalamaprezdaa mambo?
Ha Ha Ha Ha ya kweli hayo?Njoo kwangu utakacho nakupa....
maisha ya siku hizi kazi ni kupata marafiki na network mengine yatafuata..Asante......naona huu uzi unaruka sana, kuna watu wamo 24/7 humu...hawa watu wanafanya kazi kweli?
Kivipi mkuu![]()
Signature magumashi
........