Nini tenaUsajili[emoji15] [emoji15] [emoji15]
KaribuHahaa hii nimeipenda asee....kwa maelezo ya makapuku basi na mm nimo.....ni mgeni hapa nina kama mwezi sasa
Usajili unanihusu mkuu
Duu kwahiyo ile offer yangu imegonga mwamba?Nimeshatendwa mkuu mimi ni single and available sasa
Hahahahahah basi sawa. Mimi ndio waziri mkuu humu kwa MakapukuNakumbuka enzi zile nikiwa naenda Club Mabaunsa wa Club hizo wengi wao walikuwa washkaji zangu sasa ulikuwa ukiingia Club kama upo alone siku hiyo anakuambia Manuu subir kidogo anaenda anarudi na kitu kali sana halafu yule demu anaambiwa kaka angu huyu kuwa nae...Wap Baunsa wa chamber hii Th Name
Huo usajili..[emoji57] [emoji57] mie nipo?Nini tena
Upweke unanisumbua na hili baridi ndio kabisaaaUnatafuta mchumba mbona mapema sana
Shhh usiseme hapa watashtukia diliMshana we si unawaloga tu wadada wazuri wazuri Kama cute b[emoji40] [emoji125] [emoji125]
Mie mzima afya, za tangu jana.Powaaa shem! Hujambo?
Ok inabidi msitusahau sisi masingle ili itakapo tokea fursa utaratibu ule wa FIFO ufuatwe yule wakwanza kusubir apatiwe kwanza na the like..
Fanya haraka maana upweke ni shidaUpweke unanisumbua na hili baridi ndio kabisaaa
[emoji40] [emoji40] [emoji40] hope bado hawajashtuka[emoji125] [emoji125] [emoji125]Shhh usiseme hapa watashtukia dili
Soma post #3Huo usajili..[emoji57] [emoji57] mie nipo?
Vipi umekataa offer ya Mshana Jr vipi nikupe kaka yangu?Upweke unanisumbua na hili baridi ndio kabisaaa
Mkuu nadhani list ya tulio single iwekwe bayana kabisa ili pindi aingiapo single mpya wa jinsia ingine apewe majina yote ya masingle boy afanye selection at least masingle tupungue..Labda tufanye uporaji mi mwenyewe na kujipendekeza kote nimetoka draw mpaka nataka nitumie ile methodology nyingine
Salama shemMie mzima afya, za tangu jana.
Ni mimi na wewe tu officiallyMkuu nadhani list ya tulio single iwekwe bayana kabisa ili pindi aingiapo single mpya wa jinsia ingine apewe majina yote ya masingle boy afanye selection at least masingle tupungue..
[emoji135] [emoji135]Soma post #3
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji25] [emoji25]Vipi umekataa offer ya Mshana Jr vipi nikupe kaka yangu?
Tuvumilie maana hamna namna nyingineHii hali ya hewa na huu mwendokasi