manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,733
Nakumbuka enzi zile nikiwa naenda Club Mabaunsa wa Club hizo wengi wao walikuwa washkaji zangu sasa ulikuwa ukiingia Club kama upo alone siku hiyo anakuambia Manuu subir kidogo anaenda anarudi na kitu kali sana halafu yule demu anaambiwa kaka angu huyu kuwa nae...Wap Baunsa wa chamber hii Th Name