Makapuku Forum

Umesamehewa kaka
Nahukuru sana dada ila kama dada angu naomba nikupe majukumu kidogo, Mimi ni mpole sana mwenye mapenzi ya dhati sana na si mchoyo sana haswa wa kuchana wallet ili mradi yeyote wa karibu yangu nione ana furaha unaweza nifikishia ujumbe huu kwa cute b na uongeze na maneno ya kwako tu ili mradi uone anatabasamu...
 
cute b kaka yangu amekudondokea, na kipesa sio mchoyo. Please mkubalie. Hali, halali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…