Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Umeonaeee wapo wengi Sana...Ashira,marangu MasiaMarangu mwika,msae,kisambo....naanza kugundua nina ndugu wengi hapa wa marangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaeee wapo wengi Sana...Ashira,marangu MasiaMarangu mwika,msae,kisambo....naanza kugundua nina ndugu wengi hapa wa marangu
Ivi fakalava inaweza kua na maana gani😕Fakalava anambwembwe sana [emoji135] [emoji135]
Hahaaaa labda https://jamii.app/JFUserGuide fala[emoji13] [emoji13] [emoji40] [emoji40] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Ivi fakalava inaweza kua na maana gani😕
haya mukuje mukuje, bhaeleze bhaelewe bhatotoHalafu nilikuwa nakutafuta wewe mtu... Bora umekuja tuunde couple matata jf nzima yetu tutaitafutia na jina kabisaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Asante kwa taarfa...tutafahamiana zaidi ☺Umeonaeee wapo wengi Sana...Ashira,marangu Masia
Wanaangaliaga vigezo ganiHahahaaaa..... kama hauna access ya kwenda huko litakuwa limefutwa kweli, ila kama unayo ruhusa ya kudhuru huko lipo sana.
LinawaPhaya mukuje mukuje, bhaeleze bhaelewe bhatoto
hilo jina ndiyo ID yangu mkuu, tangu nipo dogo ukiulizia peter hutonipataAu jina la choka lina changia nini
si unaona sasa kumbe tunatoka sehemu moja ...Uwiiii marangu mtoni mamba maande ....mamba kokirie.. Marangu Arisi.
KaribuAsante kwa taarfa...tutafahamiana zaidi ☺
Ulikesha hapa bila shaka.. MorningKiasi tu, na ndio naamka sasa, morning all
Umeonaeee wapo wengi Sana...Ashira,marangu Masia
Mamba kotela mmepasahau pia...Marangu mwika,msae,kisambo....naanza kugundua nina ndugu wengi hapa wa marangu
Kuna million mbili hapa ya kufanyia shopping. Ukanunue vitu vidogo vidogo. Ukikubali utapata mambo mazuri zaidi cute b usiniangushe wiiNa dada ongezea tu hadi advance kwa ajili ya yeye kufanya shopping ili asahau yote aliyofanyiwa tayar nimeshakutumia wewe..So akikubali kiasi cha kuanzia utamrushia tu..
Yani tumeijaza JfMamba kotela mmepasahau pia...
Choka nahisi wanakuona no moneyhilo jina ndiyo ID yangu mkuu, tangu nipo dogo ukiulizia peter hutonipata