Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,461
- 35,218
Najua baby. Mimi pia ni wako pekee yako love.Twende sehemu gani honey wangu? Waache tu wapagawe mm ni wako peke yako.
Twende Bagamoyo kule place nzuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua baby. Mimi pia ni wako pekee yako love.Twende sehemu gani honey wangu? Waache tu wapagawe mm ni wako peke yako.
Mh!!! [emoji15] wewe ni singali?[emoji134]Ni mimi na wewe tu officially
Una undugu na DjChoka?hilo jina ndiyo ID yangu mkuu, tangu nipo dogo ukiulizia peter hutonipata
Mkuu avatar yako inawachanganya makapukuahaaa kaolewa tayar ningemuunganisha
Sawa mpenz tutaenda!!Najua baby. Mimi pia ni wako pekee yako love.
Twende Bagamoyo kule place nzuri sana.
Hii inamaanisha, Mpenda makuu.Fakalava kweli sijui labda unipe more details[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu PM naona kuna tatizo ebu nipe muafaka wa usajili tafadhali...Nini tatizo tena
huwa napumzikaga tu mpendw ....We hukulala kabisa nini?
Nashukuru. Ila wewe baki humu humuNaunga mkono hii hoja kwa kweli....
Mitaa hii tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mh!!! [emoji15] wewe ni singali?[emoji134]
We nae kiswahili chako kigumu sanahuwa napumzikaga tu mpendw ....
🙂🙂🙂
So jiandae baby wanguSawa mpenz tutaenda!!
Bora umemsaidia kutafsiriAmeandika Linamo wa peterchoka.
Nakusabahi...........Mitaa hii tuu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mapenzi hayana mwenyewe.Amini mie nimempenda hivyo hivyo
Una hatari SanaHii inamaanisha, Mpenda makuu.