Haata sijui maaana Yake...Hivi sumbai ni kimasai?
Ignore plzMbona umekaza sana!!??
We mkali aisee[emoji3] [emoji3]Haata sijui maaana Yake...
Ila nililipenda jina LA lecture wangu. Alinisapisha miaka 2.. Sijui kabila gani
Watu wengine wanakera sana!Tujifunze kupotezea jamani
Hivi huwezi kumsajili shemeji naye ajiunge makapuku!!!!Married, a parent of a lovely baby girl
Hahahahaaaa miaka miwili!!! Huku kata tamaa....pole... Inataka kafanana na suvai.. Kimasai.. Means ujambo?Haata sijui maaana Yake...
Ila nililipenda jina LA lecture wangu. Alinisapisha miaka 2.. Sijui kabila gani
Sa Si ulisema ni mama .....Tafwazali bwanaa, wewe umeshapika nini[emoji2] [emoji111]
Ukirudi huko mkuu njoo na apple nzima.. Nilitamani hilo hapo lkn limedokolewamuda si mrefu ntakuja na single nyingine yaani mikakatii ya KUTOKA hadi kuwa super star now naingia msituni kwanza niombeenii maana huko msituni kuna akina BENITO MUSOLIN na MZIMU wa ALDOLF HITLER
IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI
UMOJA WA MAKAPUKU JF
ndg DEKITAMBI..
hujambo bibie!! ndio nimekuonaIgnore plz
Sijambo, pole na matatizohujambo bibie!! ndio nimekuona
Teh-teh-teh awe jf tena? Na username yangu aijue? Hamna kitu kitamu duniani kama privacy, na huwa naigharamia kwa hali zote niipate. By the way, hivi ndio sawa, nisijue uwepo wake, asijue uwepo wangu, azingue nimzingue. Na siku tutongozane, kwny kupeana namba za simu tufumaniane, maisha yaendeleeHivi huwezi kumsajili shemeji naye ajiunge makapuku!!!!
Evaa!Hahahahaaaa miaka miwili!!! Huku kata tamaa....pole... Inataka kafanana na suvai.. Kimasai.. Means ujambo?
Sidai banaEvaa!
Weeee, wapi nimesema[emoji2] [emoji2] [emoji111]Sa Si ulisema ni mama .....
Kuwa siriasi Basi. Lol
Maneno matamu kuwahi kusikia masikioni mwanguTeh-teh-teh awe jf tena? Na username yangu aijue? Hamna kitu kitamu duniani kama privacy, na huwa naigharamia kwa hali zote niipate. By the way, hivi ndio sawa, nisijue uwepo wake, asijue uwepo wangu, azingue nimzingue. Na siku tutongozane, kwny kupeana namba za simu tufumaniane, maisha yaendelee
Du makapuku si tunabebana...[emoji33]Lete hela ya bundle unadhani atakuunganisha bure[emoji15]
Ahaaaa Haaaa nimeanza kuamini...Teh-teh-teh awe jf tena? Na username yangu aijue? Hamna kitu kitamu duniani kama privacy, na huwa naigharamia kwa hali zote niipate. By the way, hivi ndio sawa, nisijue uwepo wake, asijue uwepo wangu, azingue nimzingue. Na siku tutongozane, kwny kupeana namba za simu tufumaniane, maisha yaendelee