Makapuku Forum

Makapuku Forum

muda si mrefu ntakuja na single nyingine yaani mikakatii ya KUTOKA hadi kuwa super star now naingia msituni kwanza niombeenii maana huko msituni kuna akina BENITO MUSOLIN na MZIMU wa ALDOLF HITLER

IMETOLEWA NA MKUU WA MAJESHI
UMOJA WA MAKAPUKU JF
ndg DEKITAMBI..
Ukirudi huko mkuu njoo na apple nzima.. Nilitamani hilo hapo lkn limedokolewa
 
Hivi huwezi kumsajili shemeji naye ajiunge makapuku!!!!
Teh-teh-teh awe jf tena? Na username yangu aijue? Hamna kitu kitamu duniani kama privacy, na huwa naigharamia kwa hali zote niipate. By the way, hivi ndio sawa, nisijue uwepo wake, asijue uwepo wangu, azingue nimzingue. Na siku tutongozane, kwny kupeana namba za simu tufumaniane, maisha yaendelee
 
Maneno matamu kuwahi kusikia masikioni mwangu
 
Teh-teh-teh awe jf tena? Na username yangu aijue? Hamna kitu kitamu duniani kama privacy, na huwa naigharamia kwa hali zote niipate. By the way, hivi ndio sawa, nisijue uwepo wake, asijue uwepo wangu, azingue nimzingue. Na siku tutongozane, kwny kupeana namba za simu tufumaniane, maisha yaendelee
Ahaaaa Haaaa nimeanza kuamini...
Kumbe wadada mpo...
 
Back
Top Bottom