Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kuna mtu anaweza kujiuliza makapuku wa Jf ni nani?
Kama una kati ya sifa hizi basi knowingly or unknowingly wewe ni kapuku :

1)Kama uki comment watu wanakurukia kwa kebehi kama wewe wa juzi, poor thinking, Jf imevamiwa, siku hizi hamna great thinkers, eti na huyu gt, n.k basi jua wewe ni kapuku.

2) kama ukianzisha uzi comments hazifiki page mbili wkt mwenzako hata akipost Namkubali sana member fulani zinamiminika comments page 20. Basi usingoje tukutaje, we ni kapuku.

3)Kama ukichangia hupati likes wakati mwenzako ana comment "duh" anakula likes nane. Basi karibu sana kwenye jukwaa wewe ni kapuku mwenzetu.

4) kama post zako hazimalizi saa 24 bila kufutwa au kuunganishwa na nyingine. Basi jina letu ni lile lile kapuku

5)Kama ukiingiza masihara kidogo kwenye post za wakubwa unajikuta umekula ban. Basi ndio ukapuku wenyewe tunaousema.

Na mambo mengine kama hayo
 
Makapuku ni nani?

TOP 10 makapuku tishio JF

Underground vs Wakongwe wa JF

JF kama Group la WhatsApp

KAPUKU ni
*Member aliyejiunga from Jan 2014

*Member mgeni
*Member asiye maarufu
*member underground
*Member mwenye post chache
*Member anayedharauriwa
*Member mnyonge

Kutokukidhi vigezo(kutokuwa kwenye list) haikuzuii kujumuika pamoja na Team Makapuku
Km una kigezo mPM Th Name akuadd

One love

Soma post #231
Ni muhimu sana

Lengo kuu la thread hii ni kuleta usawa Jf na kuwafanya makapuku wafurahie uwepo wao na sio kuigawa Jf........
Matusi hayaruhusiwi
Makapuku tuwe mfano wa kuigwa
Soma hiyo comment ya Bitoz
Th Name hivi namimi ni kapuku au? Hebu niambie.... Nijijueee braza....

Ila kama ni kapuku nataka cheo cha utunza hazina msaidizi. Cc ibra87
 
47811db7a53ab21ee3c364796e7adbce.jpg
 
Kuna mtu anaweza kujiuliza makapuku wa Jf ni nani?
Kama una kati ya sifa hizi basi knowingly or unknowingly wewe ni kapuku :

1)Kama uki comment watu wanakurukia kwa kebehi kama wewe wa juzi, poor thinking, Jf imevamiwa, siku hizi hamna great thinkers, eti na huyu gt, n.k basi jua wewe ni kapuku.

2) kama ukianzisha uzi comments hazifiki page mbili wkt mwenzako hata akipost Namkubali sana member fulani zinamiminika comments page 20. Basi usingoje tukutaje, we ni kapuku.

3)Kama ukichangia hupati likes wakati mwenzako ana comment "duh" anakula likes nane. Basi karibu sana kwenye jukwaa wewe ni kapuku mwenzetu.

4) kama post zako hazimalizi saa 24 bila kufutwa au kuunganishwa na nyingine. Basi jina letu ni lile lile kapuku

5)Kama ukiingiza masihara kidogo kwenye post za wakubwa unajikuta umekula ban. Basi ndio ukapuku wenyewe tunaousema.

Na mambo mengine kama hayo
Makapuku famiiiiiilyyy
 
Back
Top Bottom