Makapuku Forum

Kuna mtu anaweza kujiuliza makapuku wa Jf ni nani?
Kama una kati ya sifa hizi basi knowingly or unknowingly wewe ni kapuku :

1)Kama uki comment watu wanakurukia kwa kebehi kama wewe wa juzi, poor thinking, Jf imevamiwa, siku hizi hamna great thinkers, eti na huyu gt, n.k basi jua wewe ni kapuku.

2) kama ukianzisha uzi comments hazifiki page mbili wkt mwenzako hata akipost Namkubali sana member fulani zinamiminika comments page 20. Basi usingoje tukutaje, we ni kapuku.

3)Kama ukichangia hupati likes wakati mwenzako ana comment "duh" anakula likes nane. Basi karibu sana kwenye jukwaa wewe ni kapuku mwenzetu.

4) kama post zako hazimalizi saa 24 bila kufutwa au kuunganishwa na nyingine. Basi jina letu ni lile lile kapuku

5)Kama ukiingiza masihara kidogo kwenye post za wakubwa unajikuta umekula ban. Basi ndio ukapuku wenyewe tunaousema.

Na mambo mengine kama hayo
 
Soma hiyo comment ya Bitoz
Th Name hivi namimi ni kapuku au? Hebu niambie.... Nijijueee braza....

Ila kama ni kapuku nataka cheo cha utunza hazina msaidizi. Cc ibra87
 
Makapuku famiiiiiilyyy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…