Sitimbi (nilihama Dar toka upepo ubadilike)Unatokea sehemu gani?
Nashukuru nimeamka salamaPoa kabisa[emoji123] [emoji123] habari ya wewe?
Nafurahi kupata mawifi.....kumbe na wewe mchawi
ngoja nisubiri tuu dodo chini ya mwembeU don't have to..
huu mchezo hauhitaji hasiraSawa nimefurahi kumjua wifi.... Kama namuona vile peterchoka alivyonuna
Nawapenda[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Nijibu
Ila usije ukamuita maana huu uzi wote utajaa ubishani wetu tu[emoji134] [emoji134]ngoja akusikie
kichwa kipi maana nina vichwa viwiliKichwa ndo muhimu, miguu sio isaue
Hasira inaweza sababisha ukaharibu,huu mchezo hauhitaji hasira
Naongelea kile unachoweza kujifunika na mwamvulikichwa kipi maana nina vichwa viwili
Lol, kwani ww unataka ufunike kichwa kipi? [emoji2] [emoji2]kichwa kipi maana nina vichwa viwili
Safi sanaNawapenda[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
mapenzi yanaweza sababisha umtie mtu sululu la kichwa, inabidi uende nayo taratibuHasira inaweza sababisha ukaharibu,
ExactlyThis is a stress free zone
[emoji15] mmh! kwa hii[emoji115]quote tu hapa, tayari nmeshapata jibu[emoji28] [emoji23] [emoji23] lol
Haya bwana..[emoji15] mmh! kwa hii[emoji115]quote tu hapa, tayari nmeshapata jibu
EB tusio makapuku tupiteeHabari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapana JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.
Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku prezidaa Bitoz shukuru kwako sana.
Members
EMMYGUY
ibra87
sizzya007
Nahrene
cute b
lizziebettie
UncleBen
peterchoka
nyumbatatu
dekitambi
HULILO
Kawalala93
damtanzania
Mama mkubwa
Thoomas
youngblood
tawa driller
SongeaOne
eden kimario
KABUGHA
Sambusa kavu
shaban lee
Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.
Karibu sana
Bitoz
JF Makapuku Founder
Jimena
JF Makapuku assistant Founder
Th Name JF Makapuku assistant Founder
peterchoka amenuna eti hahaha.Sawa nimefurahi kumjua wifi.... Kama namuona vile peterchoka alivyonuna
Hehehehe hapo sasa[emoji2] [emoji2] [emoji2]Lol, kwani ww unataka ufunike kichwa kipi? [emoji2] [emoji2]