Makapuku Forum

Makapuku Forum

Kwa namna moja au nyingine naona kabisa na mie huu uzi unanihusu
[emoji445] [emoji450] [emoji441] Thoomas promoter wa simu kaingiaje, asije kitorondo, promota wa simu kaingiaje akanikate na uhondo.

Karibu kapuku mwenzetu, this is your family, tuna sapotiana na tuna show love. Welcome my brother from a different mother
 
Watatuelewa tu sisi kwa kufuata sheria za jf tunaoongoza lakini wale wakongwe ni shiida mods mlitazame hilo
Mshikamano daima[emoji4] [emoji4]

Mods wameahidi kufanyia kazi matatizo yetu hivyo kwa sasa wakati tunasubiri hilo tunaendelea na chat tu hapa,

Peace and love[emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111] [emoji111]
 
Back
Top Bottom