Makapuku Forum

Makapuku Forum

Inabidi Jimena atusaidie kutunza hii kumbukumbu vizuri
Usisahau nenda jukwaa hili hili tafuta uzi unaosema happy Birthday Jimena,ukishauona utaona umeelezea kuwa tarehe 8 /4 ni Birthday ya Jimena sasa we ongeza siku moja tu, au ukikumbuka kuwa karume day ni 7/4 we ongeza siku mbili mbele.

Hakuna kusahau [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom