Makapuku Forum

Makapuku Forum

Niko poa sana mkuu...

Nilikuwa napitapita tu kupunguza stress kidogo, Maana nimezurura ma jukwaa yako yote sijakuona kuanzia kule celeb mpaka sport kote hata harufu sisikii..! kilikupa nini my?

Anyway naona hapa nimechomeka gia no 1 ilhali watu wako spidi (kiharakati zaidi) ntakutafuta baadaye momiee.

BACK TANGANYIKA
Long story my dear.
nitakuambia PM
 
Back
Top Bottom