Makapuku Forum

Makapuku Forum

Anhaaa duh poleni sana, mnataka public attention kumbe?

Jitahidi kuwa na bundle ili muda mwingi uwe unachangia posts, kusoma vitabu ili uwe unachangia kwa point, na pia kua na marafiki hata 5 tu
wewe ndio unadhani na kuhisi hivyo lakin hatuwashangai, mmekuwa wakongwe Jina lakini vichwani hakuna kitu. Heshima Ya JF itarudishwa na UMOJA WETU NA SIO UTENGANO WENU.

MAKAPUKU NI ZAIDI YA WAKONGWE WOTE
 
Back
Top Bottom