Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Ukishafika pale mods alipotoa tamko endelea kusoma mpaka Makapuku tulipotoa tamko na hapo utakuwa umemaliza kaziChangamoto ambazo kapuku anakumbana nazo hapa JF..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukishafika pale mods alipotoa tamko endelea kusoma mpaka Makapuku tulipotoa tamko na hapo utakuwa umemaliza kaziChangamoto ambazo kapuku anakumbana nazo hapa JF..
Lazima nitaingia top 20Kwenye top 20 ya most likes Makapuku lazima tuongoze
Mi ndo nimefika na sitegemei kulala muda huuNaona makapuku wote chali,kweli usingizi hauna baunsa.
Tayari weweLazima nitaingia top 20
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Tayari wewe
TunakutegemeaMi ndo nimefika na sitegemei kulala muda huu
Niko no 2 kwa sasa, [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nyuma ya mshanaKwenye top 20 ya most likes Makapuku lazima tuongoze
Hahahaha sio mchezo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Kimbiza sanaNiko no 2 kwa sasa, [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nyuma ya mshana
Hahaha,kweli mkuu!!Kimbiza sana
Uzuri ni kwamba tuko wengi sana mule, wewe, mimi, rais, uncleBen na wengine wanakuja kwa speed ya ajabu pia, itafika mahali tutabakia sisi tu na Mshana[emoji2] [emoji2] [emoji2]Kimbiza sana
Nalitakuwa on fire kinoma ..Itakuwa poa sana wakiliweka.
Mimi leo natoboa ozone.
Hahaha hapanaHahaha,kweli mkuu!!
Au kwa ulozi?
Kwa kasi hii lazima wataliweka tu hakuna namna!Nalitakuwa on fire kinoma ..
Tupo wengi sana aisee. Na bado tunazidi kuongezekaUzuri ni kwamba tuko wengi sana mule, wewe, mimi, rais, uncleBen na wengine wanakuja kwa speed ya ajabu pia, itafika mahali tutabakia sisi tu na Mshana[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Tutaona[emoji3] [emoji3] [emoji3]Ntakushinda