Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Sana yani mpaka rahaaaNa bado tunakimbiza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sana yani mpaka rahaaaNa bado tunakimbiza
MAKAPUKU for life.Tuwatunze saana haaawa warembo wachachee.....waliopo kuna wengine wengi saana wapo.
Ila bado hawajajisajili....
Big up warembo ambao ni member Wa kapuku
Usiku mwema mkuuWakuu nawatakia usiku mwema,naona hapa narembua tu.
Tunakupenda pia[emoji99] [emoji99]Nawapenda wote
Jamani youngblood.Zimepitiliza
Nini tena jamaniJamani youngblood.
Usiku mwema. Naona macho hayana ushirikiano kabisa
Analala mapema sanaaaaa kapuku huyuHahahaha..... Yamekushinda
Hata siufahamu wala huyo muimbaji pia simjui[emoji85] [emoji85]Tena kubwa. Hapa nasikiliza wimbo wa maua sama unaitwa mahaba Niue. Wimbo wa taratibu
Mbona nyie hamlali!,naona kama mtamaliza likes kule store.Analala mapema sanaaaaa kapuku huyu
Analala mapema sanaaaaa kapuku huyu
Mtaniamsha baada ya dk 10Atakuwa kuku sasa
Mbona nyie hamlali!,naona kama mtamaliza likes kule store.
Poa poa, usiku mwema[emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99] [emoji99]Usiku mwema. Naona macho hayana ushirikiano kabisa
No majungu, ni furaha tu.Hii ndiyo raha ya kuwa kapuku
Kesho usisahau kuanza pale ulipoishia.Usiku mwema. Naona macho hayana ushirikiano kabisa
Nadhani zimeshavuka tena kwenye 2000Hiyo zimefika 2000
Hii ndiyo ya mwishoMbona hulali sasa?