Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Pamoja sana mkuuMakapuku ambao sintawafikia post zenu mnisamehe maana post zenu ni nyingi sana ila nawaahidi sintawaangusha kabisaa kila ntakapo pata gap ntakuwa nawatunuku stahiki yenu 🙂🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana mkuuMakapuku ambao sintawafikia post zenu mnisamehe maana post zenu ni nyingi sana ila nawaahidi sintawaangusha kabisaa kila ntakapo pata gap ntakuwa nawatunuku stahiki yenu 🙂🙂🙂
Wa mwisho ni yule wa mwisho kuionaHehe mimi hua wa mwisho kuangalia post yako,,, sass technically sijui nani hua wa mwisho hapo (nimechomekea)
Dakika za majeruhi hizi[emoji3] [emoji3] [emoji3] yah Ngoja tuendelee kuzihesabu hesabu hizi dakika
Tatizo unapotea sanaNna ukame wa likes!
Tatizo unapotea sana
Sisi tukiwa tunalala wewe ndo unakuja
Pamoja sanaYani sister kweli napoteza!! Ila sema tuko pamoja
angalia isijefika asubuhi ukijua dakika za majeruhiHehe mimi hua wa mwisho kuangalia post yako,,, sass technically sijui nani hua wa mwisho hapo (nimechomekea)
usihofu mkuu hapa kazi tuPiga kazi tu
umefika kwenye mto wa likes hapa usijali kiu yako itaisha tuNna ukame wa likes!
Yani sister kweli napoteza!! Ila sema tuko pamoja
Dah nmekumbuka siku moja nko na game FIFA imekoleaa sana nimeanza jioni ivi kushtukia nagongewa mlango wa room na rafiki ananambia tunachelewa kanisani, kuangalia jua hilo siku mpya ishaanza kitambo...
Kabisa mkuuUzi huu unaweza kufika asubuhi bila kujua maana unanoga kila muda unavyosonga
Mkuu upo?Kabisa mkuu
Ujumbe wa leo![]()
Amkeni...
Twndeni tukapalilie mipapai
...........................................
Nipoo Jana na leoHaya good morning all kapuku....
Amkeni tukalijenge taifaaa.....
Rollcall ya Leo...
Th Name
Bitoz
Jimena
youngblood
amazing
cute b
ibra87
deokimaro
punje haradari
@thamoo
HULILO
sizzya007
Nahrene
UncleBen
Mganga mshana jr
jonax
sammoo
GITWA
eden kimario
HOPECOMFORT
Bila kumsahau shemeji lizzybete