Youngblood
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,433
- 56,810
Si mchezo mpaka naumwa.Mkuuu naonaa unaogaa m like tuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mchezo mpaka naumwa.Mkuuu naonaa unaogaa m like tuuu
Kamata na weweMkuuu naonaa unaogaa m like tuuu
Mkuu upo kweli![emoji15] [emoji15]Kamata na wewe
Labda aitwe gutaAti... aitwe Bajaji
Nipo kiana, c unajua mihangaiko ya maisha mkuuMkuu upo kweli![emoji15] [emoji15]
Pole na mihangaiko mkuu.Nipo kiana, c unajua mihangaiko ya maisha mkuu
Du...nyie hamsomeki bana...mi siitwi bajaji...mmenizushia eti kigwasuLabda aitwe guta
Sema jina hili nalo watoto wazuri wote ataishia kuwaita shemeji
Na mabitoz pesa tunapata tatizo pamba
Nawe piaaaaaHeshima kwenu makapuku
Kwanza picha ya wifi uliiona?? Nimeshakutafutia mchumba yule hata uwe kigwasu hana neno, mpoleeeeDu...nyie hamsomeki bana...mi siitwi bajaji...mmenizushia eti kigwasu
Na kwako pia mkuu,karibu nyumbani.Heshima kwenu makapuku
Heshima kwako pia, mkuu ukifika hapa unatembeza likes hiyo ndo salamu yetu kubwaHeshima kwenu makapuku
Du sijaionaaaa...we endelea kuniita kigwasu tu unaelekea kuniita baba nakwambiaKwanza picha ya wifi uliiona?? Nimeshakutafutia mchumba yule hata uwe kigwasu hana neno, mpoleeee
Sana pamba na unyunyu wa bei mbayaNa mabitoz pesa tunapata tatizo pamba
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.................................
Daaaah mkuu mdori tena wakati mimi ni jinsia ya kiume!!!!Jiite mdoli
Ngoja nitafute First lady coz mshaanza uchokoziSana pamba na unyunyu wa bei mbaya
K I B O K O K A B I S A[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii nayo mpya
Ha haaa karibu kiongoziHeshima kwenu makapuku