Makapuku Forum

Makapuku Forum

Siku haziwezi kufanana watu leo wapo busy.....siku km za mpira sikukuu..week end na matukio muhimu mbona watakuwa nyomi tu mpaka server ziombe poo
Msiwakatishe tamaa
..................................
ingekuwa Enzi za mkwere hata tusingesubiri hizo siku...tungekuwa tunatumia mtandao wa ofc kusongesha makapuku!
 
ingekuwa Enzi za mkwere hata tusingesubiri hizo siku...tungekuwa tunatumia mtandao wa ofc kusongesha makapuku!
5af0691cfa49b1e50548107d83501866.jpg

........................
 
Back
Top Bottom