lizziebettie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2014
- 2,873
- 11,965
Hahaa si unajiamsha mwenyewe tu. Sio lazima uamshwe.Aaa...haya bana nyie kunyweni wengine hata wa kutuamsha ku urinate hayupo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaa si unajiamsha mwenyewe tu. Sio lazima uamshwe.Aaa...haya bana nyie kunyweni wengine hata wa kutuamsha ku urinate hayupo
Sisi waislamu ni suna kwenda kunywa chai ya jioni ukikaribishwaHujaelewa eeh. Ni vipi usiku huu sitaki MTU atusumbue na baby wangu. Just her and me
Hapana.Hii inamaanisha kwa makapuku kuna njaa ya warembo.
Ni aina gani ya sabuni!****Acheni kelele niko na wifi yenu tumepumzika
Nakuona unavyoshine pale kwenye Top 3Leo natoboa ozone
wote hao ni shida tupu,,,,nisikize mimi mremboWe kukitokea mfarakano hushindwi kwenda kwa mshana
Naona umeanza kusinziaNi aina gani ya sabuni!****
Njoo baby wangu mtaa wa pili wamenuna eeh.Okay love!
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Achana naye huyu alikotoka amebaka anatafutwa na polisi.We kukitokea mfarakano hushindwi kwenda kwa mshana
Hali wali mkavu.Ha haaa mgagaaa na upwaaa
Nithibitishie.Hapana.
Hapana mkuu nilitaka nijue tu.Naona umeanza kusinzia
Inaelekea SAA tano usiku hii.Sisi waislamu ni suna kwenda kunywa chai ya jioni ukikaribishwa
Hatuko bafuni, tuko kitandaniHapana mkuu nilitaka nijue tu.
Niko naye hapa tunakula maisha.nahrene anaondoka ivi ivi muda si mrefu utaanza kulia apa kama beberu [emoji4] [emoji4]
Tuwape ndimu kama jana my loveNjoo baby wangu mtaa wa pili wamenuna eeh.
[emoji131]
Top 3 ya nini mkuu.[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nakuona unavyoshine pale kwenye Top 3