Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,056
Le tamkoz[emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123] [emoji123]Naona humu ndani kuna mafisi wengi. Sasa natoa tamko yoyote yule ayejifanya kumendea wake za watu dawa yao ipo. Kama unatafuta mchumba nenda love connect wapo wengi sana. Ni Hayo tu