briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,109
Vp kwan ndo unalala nin?njoo muukimbize sasa ..
kiwelu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vp kwan ndo unalala nin?njoo muukimbize sasa ..
kiwelu
Anajua sana, ila ananiamini, kwahiyo hakuna tatizoBaby wako angejua kuna makapuku wanatoana roho huku kukufukuzia sijui ingekuaje?
Hiyo kazi inahitaji auto scanner kama sisi 24/7 kama cctv cam
Kwani we wa kwako ni nani?[emoji144] [emoji144]Hivi baby wako ni nan vile? Mbana anawah kulala ivo anakuacha peke ako?
Hahahhaha ila mbona analia?
Mi sina... Ila ndo nimeweka order kwa yeyote mpya atakayekujaKwani we wa kwako ni nani?[emoji144] [emoji144]
Umepita pita wee mwishoe umekujanjoo muukimbize sasa ..
kiwelu
Duh.., umeamua kukomaa sio? Mi nlitaka nibaki na jimena tuhapana, nipo sana mkuu
kiwelu
na anaufuatilia huu uzi kwa makini au sio ?Baby wangu yupo hapa next to me
unaonaje kama ukahamishia Tv chumbani mkuu maana hapa sebuleni kuna mbu wengi..Duh.., umeamua kukomaa sio? Mi nlitaka nibaki na jimena tu
Hatua kwa hatua, ole wangu niteleze[emoji134] [emoji134] [emoji134]na anaufuatilia huu uzi kwa makini au sio ?
kiwelu
Mmmmhhhh TV chumbani akaangalie na nani?unaonaje kama ukahamishia Tv chumbani mkuu maana hapa sebuleni kuna mbu wengi..
Mhhh!! wakati we unachart na ye anakua anafanya nin sasa?Anajua sana, ila ananiamini, kwahiyo hakuna tatizo
Hapana tulinde pamoja tu..... Raha ya kulinda kampani asikwambie mtuDuh.., umeamua kukomaa sio? Mi nlitaka nibaki na jimena tu
Ameweka sura ya kaziHahahhaha ila mbona analia?
Yeah, ni kweli mtu chake..Hatua kwa hatua, ole wangu niteleze[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Lakin huyu jamaa alishaaga kabisa.. Mara ghafla bin vuu mtu huyu hapaHapana tulinde pamoja tu..... Raha ya kulinda kampani asikwambie mtu
Mfumo wa bar huwa hatuagi, na ndo mana nikasema tutasomana badae au sio mtu wangu?Lakin huyu jamaa alishaaga kabisa.. Mara ghafla bin vuu mtu huyu hapa