Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Usijali nitalike kila napopitaTunahitaji 'likes' Mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usijali nitalike kila napopitaTunahitaji 'likes' Mkuu.
Asante Th nameKaribu sana humu
Salama lakiniAsante Th name
Pole baby!Hii hali ya hewa na huu mwendokasi
Swalama kabisaa tatizo mvua tuSalama lakini
Sio sanaVinatisha asee.
Thanks honey. Uko poa lakiniPole baby!
Niko poa honey sijui weye?Thanks honey. Uko poa lakini
Kati ya mvua na jua bora niniSwalama kabisaa tatizo mvua tu
Jitahidi.Usijali nitalike kila napopita
OkayJitahidi.
Niko poa pia. Just miss you already kama hatukuwa wote vile usikuNiko poa honey sijui weye?
pale kwenye kijani weka nyekundu, alafu kwenye njano weka rangi nyeupe ..Wakuu nawatakia wote asubuhi njema.
Ngoja nikapake rangi Taifa wengine walishajenga.
****************
Naona watu wameamua kujichimbia tena.Sio sana
Yani bora jua. Biashara yangu ya kuuza maji haiendi sawa kutokana na mvua[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kati ya mvua na jua bora nino
Wengine mnanichanganya mara mvua Mara jua
hahaahaa! nimemuona hny..Haitatokea tuachaneUsijali baby, mie ndo joto lako siku zote.
Usisikilize ya watu hasa youngblood anataka uniache.
Hali ya hewa hiiNaona watu wameamua kujichimbia tena.
Mimi nauza umbrella napiga hela hatariYani bora jua. Biashara yangu ya kuuza maji haiendi sawa kutokana na mvua[emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji8] [emoji8] i miss u too honey! Jioni ifike tuwe pamoja tenaNiko poa pia. Just miss you already kama hatukuwa wote vile usiku
Babyto
Ifike haraka tu baby wangu[emoji7] [emoji7] [emoji7][emoji8] [emoji8] i miss u too honey! Jioni ifike tuwe pamoja tena