Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu manuuKumbe kuna chamber ingine huku watu wanaitana majina yale ya faraja kabisa..Wacha nifanyE uhudhuriaji huku nione kama na mimi naweza badili jina la mtu hapa...
Unajisikiaje baby wangu, baridi imepungua?hahaahaa! nimemuona hny..Haitatokea tuachane
Powaaa shem! Hujambo?Shem lizziebettie mambo vipi?
Una mawazo kama yangu baby.Awe msichana honey
Kwema lakini[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125][emoji131]
Asante honeyUna mawazo kama yangu baby.
Huu ni jua kwa sana, hadi tunapata joto na ni asubuhi.Hali ya hewa hii
[emoji4] [emoji4] [emoji4] kwema! MamboKwema lakini[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]
We muache azunguke mabucha yoooote mwisho wa siku nyama ni ile ile...Anachezea bahati sana huyu sumbai shauri yake
Second born awe wa kiume. Tumemaliza babyAsante honey
inazid kukolea hnyUnajisikiaje baby wangu, baridi imepungua?
Shwari[emoji5] [emoji5][emoji4] [emoji4] [emoji4] kwema! Mambo
Hii tu kutoka kwako inaonyesha ukarimu wa hali ya juu kutoka kwenye chamber hii..Asante sana mkuu..Nilikuwa sijajua kuna hii chamber na yawezekana nime miss mengi...Wacha nipitie huku juu nione kama kuna mtu alimwita cute b yale majina yenye faraja..Then ntarudi hapa hapa..Karibu manuu
Unatafuta mchumba mbona mapema sanaWe muache azunguke mabucha yoooote mwisho wa siku nyama ni ile ile...
Nimeamua kuwa single natafuta mchumba hivi tangazo naruhusiwa kuliweka hapa?
Tuongeze na wamwisho wa kike tenaSecond born awe wa kiume. Tumemaliza baby
Njoo Mabibo Cityjana watu walikua wanakuteta huku eti jogoo wako hapandi mtungiii....Ndo mana hatuoni firstlady...Ya kwel hayo?+?
Siyo makapuru ni makapuku.soma mwanzo kuna jibu la swali lako.Kwanini mkaita makapuru?