Makapuku Forum

Makapuku Forum

Naona mie tu ndo nimekosa wa kumatch naye
emoji5.png
emoji5.png
emoji125.png
emoji125.png
Linamo, vipi huko kwenye Jukwaa letu la chini?
Huu Uzi nauonaga tu leo ndo nimejitolea kuusoma ni mrefuuu. Kapukuzzz[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Hahahahahah basi sawa. Mimi ndio waziri mkuu humu kwa Makapuku
Nime hit kwenye point Mheshimiwa PM ntaomba muongozo wako hapa ili niwe salama..Na ukiona nasumbua sana usisite kuniambia njia hiyo ninayo pita si salama kwangu...Ni hayo tu Mheshimiwa..
 
Back
Top Bottom