Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda yeye
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Labda yeye
Yaaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wanaliogopaIla jina limekaa kiwakiii!! Alieliandika sijui aliwaza nini[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio wanavyojuaKwani wanajua sisi ni makapuku wa NJURUKU?[emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo ni chaguo lako maka akeeShunie akee, mtoto kanizimia mimi ujue jalafu we unamrushia njiwa wangu kwa mtu mwingine.
Hapo nimefika, kigoma mwisho wa reli. 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Huyo ni chaguo lako maka akee
Wanafeli, Kama ni darasani basi ni sifuri yenye kuwekewa na masikio. 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ndio wanavyojua
Linafanya watu kuliogopa jukwaa. Maana nani anautaka ukapuku eti🤣🤣🤣Yaaani [emoji1787][emoji1787][emoji1787] watu wanaliogopa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]NENO LA LEO.
ukitaka kuona umuhimu wa matako, jaribu kukalia kichwa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Visirani gani waliolianzisha wenyewe ndio walikuwa motoLinafanya watu kuliogopa jukwaa. Maana nani anautaka ukapuku eti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Maneno huumba.
Ila mlikuwaga na motooo na visiraniii[emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Auntie nitake radhi bwanah baby wangu ni Lee atabaki kuwa lee
Naomba usinipe watu wengine niliyenaye ananitosha [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nimeelewa! Zingatia maokoto.