Makapuku Forum

Makapuku Forum

Atoto Atoto Atoto nimekuita mara tatu ewe binti mrembo kuliko wote JF nzima. Mwenye tabasamu la kheri, usiye na makuu na mtu. Independent woman, selfmade millionaire na God fearing. Wengi watashindana nawe ila hawatashinda. Moyo wako ni wakipekee sana Atoto huna maringo na wengi tunakupenda ila wanga wachache wanakuchukia.
Mwanamke unayevaa brands za maana na sio wale wa mtumba wa 1500. Asantee Atoto umekamilika kila idara acha waendelee kukuonea gere! Mwanamke unywele sio wale wa vimabutu na kipilipili.
 
Back
Top Bottom