Makapuku Forum

Makapuku Forum

Magazeti ya leo October 7, 2023.
Screenshot_20231007_062347_Opera%20Mini.jpg
 
MAKUNDI KOMBE LA SHIRIKISHO AFRIKA

KUNDI A

[emoji1026] USM Alger
[emoji1093] Future FC
[emoji1221] Supersport United
[emoji1149] Al Hilal

KUNDI B

[emoji1093] Zamalek
[emoji1029] Sagrada Esperanca
[emoji1119] S.O.A.R
[emoji1149] Abu Salim

KUNDI C

[emoji1184] Rivers United
[emoji1249] Club Africain
[emoji1110] Dreams FC
[emoji1029] APC Lobito

KUNDI D

[emoji1173] RS Berkane
[emoji1077] Diables Noirs
[emoji1159] Stade Malien
[emoji1221] Sekhukhune United
Screenshot_20231007_063432_Instagram.jpg
 
Droo ya Makundi Ligi ya Mabingwa Afrika

KUNDI A

[emoji1221] Mamelodi Sundowns
[emoji1093] Pyramids FC
[emoji1078] TP Mazembe
[emoji1163] FC Nouadhibou

KUNDI B

[emoji1173] Wydad AC
[emoji1241] Simba SC
[emoji1081] ASEC Mimosas
[emoji1052] Jwaneng Galaxy

KUNDI C

[emoji1249] Esperance
[emoji1029] Petro Atletico
[emoji1232] Al Hilal
[emoji1249] ESS

KUNDI D

[emoji1093] Al Ahly SC
[emoji1026] CR Belouizdad
[emoji1241] Yanga SC
[emoji1110] Medeama
Screenshot_20231007_063530_Instagram.jpg
 
Watu saba wamefariki dunia na wengine 22 wamejeruhiwa katika ajali iliyotokea eneo la Kiwawa Wilaya ya Kilwa Mkoani Lindi, ikihusisha basi la kampuni ya Saibaba linalofanya safari zake Nachingwea kwenda Dar es salaam na basi dogo la kampuni ya Baharia linalofanya safari zake Dar es salaam kwenda Tandahimba.

Kamanda wa Polisi Mkoani Lindi, Pili Mande amesema chanzo cha ajali hiyo ni basi la kampuni ya Saibaba kutaka kulipita gari kubwa la mizigo ambalo lilikuwa mbele yake na ndipo likakutana na basi hilo dogo la kampuni ya Baharia likitokea Dar es salaam na kugongana uso kwa uso.

Waliofariki Dunia ni Lucas John (59) Dereva wa basi la Saibaba (Mkazi wa Arusha) ambaye amefariki papohapo na Omari Alli Abdalah (49) ambaye ni Dereva wa gari ndogo ya Baharia “Miili ya Watu wengine watano bado haijatambuliwa majina yao mpaka sasa”

“Majeruhi watatu ambao hali zao ni mbaya majina yao hayajafahamika ambapo kati yao Wanawake ni wawili na Mtoto mdogo wa kiume wote wamelazwa katika Hospitali ya Kinyonga Wilaya ya Kilwa”
Screenshot_20231007_063806_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom