Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mzee wa tandahimba, newala, shimo la mungu, ukimuona mama yake harmonize msalimie, mwambie kanisusa mzazi mwenzie..
🤣😂
... ha ahahahaha, nitaenda mitaa hiyo maana ndugu yako siku hizi nimenunua chombo cha moto na nimekifunga taa za ambyulensi (moja ya mafanikio yangu 2023, ni kununua chombo cha usafiri, watu wa mjini mnakiita bodaboda).

Hata wewe nitakuletea korosho ndugu yangu, huna baya na mtu nakuletea bure unalipia usafiri na kifungashio. Au hutaki niziweke kwenye kifungashio?
 
🤣😂 Achana na kifungashio, leta kwenye KIBEBEO.
We fanya vyovyote korosho zije, kiwanda changu cha kuzalisha mbegu za watoto kimekaukiwa, niletee hiyo MALIGHAFI nianze uzalishaji.
 
Back
Top Bottom