Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Mjane wa Bilionea Msuya, Miriam Mrita ameangua kilio baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam kumwachia huru.
Miriam pamoja na Revocatus Muyella walikuwa wanakabiliwa na shitaka moja la mauaji kwa kudaiwa kumuua dada wa Bilionea Msuya, Aneth Msuya.