Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Lee empire
Nimekumbuka mbali sana enzi hizo 2017 nimebaki nacheka[emoji1787]
Tukumbushe na sie tucheke wote ebu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lee empire
Nimekumbuka mbali sana enzi hizo 2017 nimebaki nacheka[emoji1787]
Mtoto wenu yuko wapiTukumbushe na sie tucheke wote ebu
Mie sishindwi🤣Yatakushinda kama makii ...naona na yeye kapata mstaafu
Lete habari bwana, kumbe jana mmekandwa!!Subirini nikifika kwa muhindi kwenye kutumia wifi ya bure [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na wewe unakuwa umetulia tu unamsubiri arudi[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]
Lete habari bwana, kumbe jana mmekandwa!!
Ngoja nikachume fimbo, shenze kabisa wewe.Sasa nitafanyajeee auntie
🤣🤣🤣🤣🤣Sina bundle mie
Umetuambukiza matatizo yako. makaveli10 nae anapotea na kurudi kama lile jambazi lako😭😭😭Auntie nijibu basi mna niniii na babe wako sijakuzoea hivi ujue
Ngoja nikachume fimbo, shenze kabisa wewe.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Auntie nasubiri habari ujue!!
🤣🤣🤣🤣🤣Niliona mnachelewa kuja auntie nikafuta mie
Umetuambukiza matatizo yako. makaveli10 nae anapotea na kurudi kama lile jambazi lako[emoji24][emoji24][emoji24]
Ni bakora hadi akili zikurejee.Sema kweli auntie [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeeeh😳😳😳😂😂Kikubwa auntie yupo mzima basi [emoji1787][emoji1787]
Ni bakora hadi akili zikurejee.