Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
🤔🤔🤔🤔🤔Mamii love, nazisaka, mwaka huu mbona utalia kwenye ndinga ya ndoto yako mpenzi, kuwa mpole napambania kutimiza ahadi zako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤔🤔🤔🤔🤔Mamii love, nazisaka, mwaka huu mbona utalia kwenye ndinga ya ndoto yako mpenzi, kuwa mpole napambania kutimiza ahadi zako.
Hebu tulia!Sema sisi wanaume [emoji2]
Mimi ndio nitatimiza ndoto zako.🤔🤔🤔🤔🤔
Siri ya hayo mabutu ni sababu anampenda sana MOBUTU SESEKO hivyo gharama niingiazo kwemye hayo mabutu, huwenda ndio yakawa mabutu ghali zaidi hapa duniani.😂 Ungeanza kwa kumsaidia afumue mabutu yake kichwani
Ndio maana tunaitwa wanaume.., 😂Sema sisi wanaume [emoji2]
😂 Ila namwonaga jogging asubuhi akijaribu kupunguza kitambi baby wako mfupiSiri ya hayo mabutu ni sababu anampenda sana MOBUTU SESEKO hivyo gharama niingiazo kwemye hayo mabutu, huwenda ndio yakawa mabutu ghali zaidi hapa duniani.
Umezaliwa kwa ajili yangu babe [emoji3059][emoji3059] ndio mana nakupendaTutagombana mkuuu
Niachie mume wangu auntieHebu tulia!
[emoji23]Siri ya hayo mabutu ni sababu anampenda sana MOBUTU SESEKO hivyo gharama niingiazo kwemye hayo mabutu, huwenda ndio yakawa mabutu ghali zaidi hapa duniani.
Aaaaah nyieee!!Mimi ndio nitatimiza ndoto zako.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Umezaliwa kwa ajili yangu babe [emoji3059][emoji3059] ndio mana nakupenda
Huyo shindikana wako peke yako.Niachie mume wangu auntie
Hapo ndipo huwa nagombana nae, kwanini apunguze kitambi, kitambi kinafaida nyingi.😂 Ila namwonaga jogging asubuhi akijaribu kupunguza kitambi baby wako mfupi
🙌😹Hapo ndipo huwa nagombana nae, kwanini apunguze kitambi, kitambi kinafaida nyingi.
Pili, nimempendea ufupi wake, sasa mume tall, mke tall, nani mume nani mke, lazima kuwe na utofauti kijana.
Hapo ndipo huwa nagombana nae, kwanini apunguze kitambi, kitambi kinafaida nyingi.
Pili, nimempendea ufupi wake, sasa mume tall, mke tall, nani mume nani mke, lazima kuwe na utofauti kijana.
😂 ila nyie 😂
...tumetoka mbali sisi maveteran, tunakutana jmosi kwa mazoezi ya kutafuta appetite ya bia😂 ila nyie 😂