Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha mkuu kwema kabisaMkuu Tresor Mandala mambo vipi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha mkuu kwema kabisaMkuu Tresor Mandala mambo vipi
Aliyekumbukwa humu naniiiii we mzeee zaidi ya cocs kumuita lee na me kumsaidia kumuitiaaa we ukikumbukana na swahiba wakooo makiii inatoshaa![]()
![]()
Nime kuja bro, heri lakini?
Wikendi inaanza salama kwako ndugu yangu?tupige stori
Furahi day uko poa lakini
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mbona hivi lakini?..
🤣🤣🤣🤣🤣Tunakumbukana sana Auntie....[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkumbuke swahiba wako auntie
Aliyekumbukwa humu naniiiii we mzeee zaidi ya cocs kumuita lee na me kumsaidia kumuitiaaa we ukikumbukana na swahiba wakooo makiii inatoshaa![]()
![]()
Hahahahaha....dah hii kali[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkumbuke swahiba wako auntie
Habari za jioni mpendwa?
sijambo mkuuMarahaba, hujambo mndali wa undali Ileje
Wiki imeisha kibabe sana aisee!Furahi Day mko wapi ?
Saa hz imeisha ?Wiki imeisha kibabe sana aisee!
Hahahahaha...kuna watu ndio wanaamkaNi kama imeisha tu ndugu yangu, jua likisha zama ndio hivyo tena.
Yaah, nipo hapa narudi nyumbani lakini napishana na watu ndio wanaenda kwenye harakati.Hahahahaha...kuna watu ndio wanaamka