Makapuku Forum

Makapuku Forum


View: https://www.youtube.com/watch?v=e4ujS1er1r0

maharage kupikwa kwenye birika la umeme kuokoa gesi. utafiti haujafanyika ila waweza kujaribu.
Humu kumejaa watu wema sana na kila mmoja apokee heshima nyingi toka kwa mdau wenu. Atoto fikisha salamu zangu tafadhari, ni maisha tu ambayo bila salamu hayana maana

Hiyo ni sawa na kuziba shimo la panya kwa kipande cha mkate.. Kuna watu wanaishi tegeta nyuki na hawali asali...
 
Na tumshukuru anatuletea magazeti ya mwananchi na ndugu zake, ingekuwa the gurdian, daily news na wenzao ingebidi tununue dictionaries.
ha hahahaha, ninachofanya ni kusoma gazeti la Mwananchi halafu nabeba gazeti la The Citizen au nasoma habari leo afu nazuga kwa Daily News, hawa mara nyingi huandika habari sawa kwa lugha tofauti.

Au unafanya mambo ya google translator
 
Back
Top Bottom