Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujambo boss , tumatumaini nawe pia.Mara moja moja huwa napita hapa.
Makapu wote hamjambo?? 😊
Shunie asante kwa magazeti.
Wiki njema kwetu wadau wote wa humu ndani
Kizuri kula wenzio Tresor Mandala hebu tafuta kionjo cha amapiano moja matata sana, usikie chiki chiki za maana wimbo unaitwa Forgive our trespasses, by Nandipha Ceeka RSA na Demola
Nimeshindwa kukipandisha hapa sababu ya bundle sasa wewe ni mstaafu kila siku wikend
Haha!Watesekaji sugu mpoo?
Kufa hatufi ila cha moto tutakiona.Haha!
Tupo bwana.
Ngoja waje waandamizi bro!Kufa hatufi ila cha moto tutakiona.
Nisaidien hela ya kula kesho mwenyekit wenu hapa
Duh, asante sana mdau. Angalau nimeweza kuisikiza kwa uzuri kabisa
...wenzako tumejifunza kula muziki kama komandoo Hamza KalalaKufa hatufi ila cha moto tutakiona.
Nisaidien hela ya kula kesho mwenyekit wenu hapa
Hahahahaha, sawa sawaShunie asante kwa magazeti.
Wiki njema kwetu wadau wote wa humu ndani
Kizuri kula wenzio Tresor Mandala hebu tafuta kionjo cha amapiano moja matata sana, usikie chiki chiki za maana wimbo unaitwa Forgive our trespasses, by Nandipha Ceeka RSA na Demola
Nimeshindwa kukipandisha hapa sababu ya bundle sasa wewe ni mstaafu kila siku wikend
Hahahahaha nipo shangazi, nilitoka kdg now niko mjini , Swahiba wangu nimemiss kweli kweli
Mara moja moja huwa napita hapa.
Makapu wote hamjambo?? [emoji4]