Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekumbuka tu enzi hizo za Channel O na MTV. Sina jipya kwa sasa zaidi ya kuwasilimia wote wa jukwaa hili. Wikend njema sana kwetu sote na bado naendelea kushangaa padri kuweka paswedi kwenye WiFi ya kanisa, sisi majirani anatukwaza


View: https://www.youtube.com/watch?v=AQa_8efdiRs

...siku moja nitakutana na wewe mtoni, niulize nini kinafanya maji ya mlima Kilimanjaro yawe na thamani kubwa.
 
Magazeti ya leo August 17, 2024.
 

Attachments

  • IMG_4261.jpeg
    IMG_4261.jpeg
    1.4 MB · Views: 1
  • IMG_4262.jpeg
    IMG_4262.jpeg
    1.3 MB · Views: 2
Back
Top Bottom