Makapuku Forum

Makapuku Forum

Hahahahaha, mie huwa simsemei mtu na wala siwezi kufanya hivyo..hii nimesema kwa heshima yako tu, ila ningeweza kuacha watu waone hili boko ulilotoa,kulinda hadhi ya jukwaa / uzi

Me nashukuru kwa kuniambia we mzee ila kwa mfano ingejulikana sijui kesho uko ningeacha hivyohivyoo nisingefuta [emoji1787][emoji1787] wangejua wenyewe waliosoma halafu me magazeti kabla sijapost nasoma kabisa ila leo sijasoma hata moja
 
Back
Top Bottom