Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana mdau. Nawe uwe na sikukuu njema
.....nimekaa paleee, utasubiri sana, watu hawajaonekana wiki nzima ndo wakutumie mwaliko leo. Karibu hapa mjini ujivutie japo likinywaji kwa nguvu zako
Wadau Nasubiri mwaliko wa pilau la Sikukuu.
Khaaaa!.....nimekaa paleee, utasubiri sana, watu hawajaonekana wiki nzima ndo wakutumie mwaliko leo. Karibu hapa mjini ujivutie japo likinywaji kwa nguvu zako
Asante moudgulf , happy new year 2025 kwetu sote. Ada za wanaosoma zimekaba nafasi yake sasa 😀Heri ya mwaka mpya watu wa Mungu.
Atoto Shunie Makiwendo Tresor Mandala mbalizi1 Poker Obe makaveli10 , Midekoo na wengine mje hapa tujadiliane ugumu wa januari
Asante kwa salamu za kheri mdau wa maana.Heri ya mwaka mpya watu wa Mungu.
Atoto Shunie Makiwendo Tresor Mandala mbalizi1 Poker Obe makaveli10 , Midekoo na wengine mje hapa tujadiliane ugumu wa januari
🤣🤣🤣🤣🤣.....nimekaa paleee, utasubiri sana, watu hawajaonekana wiki nzima ndo wakutumie mwaliko leo. Karibu hapa mjini ujivutie japo likinywaji kwa nguvu zako
Asante binamu na kwako pia...naam, hujaniita ili nimeitika ili tuongee. Bado dakika 55 kukamilisha siku 365 za mwaka 2024. Tunakaribia kuuaga 2024.
Binafsi na kama wadau wa jukwaa hili, mwaka 2024 umekuwa ni mwaka mzuri na wenye changamoto za kibinadamu na mazingira. Tumepoteza wapendwa wetu lakini pai kuna mambo mengi mazuri yametokea upande wetu, kila kitu ni kushukuru.
Nikutakia mwisho mwema wa 2024 na kukunuia 2025 njema kwako na kwa kila uliye karibu na wewe.
Obe safarini Mtwara
Asante we mzee na kwako pia
Asante moud na kwako piaHeri ya mwaka mpya watu wa Mungu.
Atoto Shunie Makiwendo Tresor Mandala mbalizi1 Poker Obe makaveli10 , Midekoo na wengine mje hapa tujadiliane ugumu wa januari