Makapuku Forum

Makapuku Forum

Screenshot_20250227_060440_Chrome.jpg
Screenshot_20250227_060458_Chrome.jpg
 
Magazeti ya leo February 28, 2025.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_060816_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_060816_Chrome.jpg
    249.1 KB · Views: 1
  • Thanks
Reactions: Obe
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_060841_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_060841_Chrome.jpg
    226.1 KB · Views: 1
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061003_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061003_Chrome.jpg
    210 KB · Views: 2
  • Screenshot_20250228_061224_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061224_Chrome.jpg
    192.8 KB · Views: 1
  • Thanks
Reactions: Obe
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061022_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061022_Chrome.jpg
    198.3 KB · Views: 1
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061040_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061040_Chrome.jpg
    182.4 KB · Views: 2
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061055_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061055_Chrome.jpg
    268.5 KB · Views: 2
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061120_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061120_Chrome.jpg
    186.2 KB · Views: 1
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061136_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061136_Chrome.jpg
    203.9 KB · Views: 1
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061152_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061152_Chrome.jpg
    186.3 KB · Views: 1
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061210_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061210_Chrome.jpg
    184.6 KB · Views: 1
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061243_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061243_Chrome.jpg
    241.5 KB · Views: 1
  • Thanks
Reactions: Obe
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061300_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061300_Chrome.jpg
    176 KB · Views: 1
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061317_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061317_Chrome.jpg
    200.9 KB · Views: 1
  • Thanks
Reactions: Obe
.
 

Attachments

  • Screenshot_20250228_061339_Chrome.jpg
    Screenshot_20250228_061339_Chrome.jpg
    246.8 KB · Views: 1
  • Thanks
Reactions: Obe
Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, imemhukumu mfanyabiashara Hamis Said Luwongo, kunyongwa hadi kufa baada ya kupatikana na hatia ya kumuua mke wake wa ndoa, Naomi Marijani.

Uamuzi huo umetolewa leo Februari 26, 2025 na Jaji wa Mahakama hiyo, Hamidu Mwanga, baada ya kuridhishwa na ushahidi wa mashahidi 14 na vielelezo 10 uliotolewa mahakamani hapo.

Kabla ya kutolewa kwa adhabu hiyo, jopo la mawakili wawili Serikali ukiongozwa na Wakili Mkuu wa Serikali Yasinta Peter akisaidiana na Wakili Wa Serikali Mwandamizi, Ashura Mnzava, uliomba Mahakama itoe adhabu kali dhidi ya mshtakiwa huyo ili iwe fundisho kwa wanaume wote wanaowafanyia ukatili wanawake wao kwa kigezo kuwa wapo kwenye ndoa.

"Kitendo kilichofanywa na mshtakiwa ni cha ukatili na unatupa mashaka kwa wanawake waliopo katika ndoa na wanawake wanaingia katika ndoa, hivyo tunaomba Mahakama yako itoe adhabu kali ili iwe fundisho kwa wanaume wanaotumia kigezo cha ndoa kufanya ukatili kwa wake zao" amedai wakili Mnzava

Katika kesi hiyo ya jinai namba 44/2023, Hamis, mkazi wa Gezaulole, wilayani Kigamboni, alikuwa anakabiliwa na shtaka la mauaji ya mkewe Naomi Orest Marijani kinyume cha kifungu cha 196 na 197 cha Sheria ya Kanuni ya Adhabu, kama ilivyorejewa mwaka 2019.

View attachment 3250360
Duh. Haki imeonekana kutendeka.
Inauma kwa mtu unayemfahamu
 
Kwa wale vimumuna wenzangu najua tumeanza mfungo leo na wengine kesho ndo siku yenyewe. Dini ni utaratibu ambao kila mmoja kivyake anaufuata.

Kabla ya kuungana na wote wanaoanza kesho, hebu nikurudishe miaka ya 80s ambako muziki na wanamuziki walifanza kazi ambayo wanaojiita wanamuziki leo wanatamani wangekuwa wao. Na ukiwa na umri kama wangu basi kuyasikia mshairi yale leo kunakufanya ujisikia huru sana.
Burudika na nawatakia wote wanaofunga kwa ajili ya Ramadhan na Kwaresma, mfungo mwema.


View: https://www.youtube.com/watch?v=TrqncNVA0FY
 
Back
Top Bottom